Karibu katika blog ya WINGU TZ. Tangaza nasi bishara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0757254984 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Yatazame Hapa Matokeo ya mtihani wa Form Two 2016 na Darasa la nne 2016


 Leo January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne SFNA2016.
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya Form two 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA 2016’  >>>FTNA 2016
Unaweza kuyatazama matokeo ya darasa la nne 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘SFNA2016’ >>>SFNA2016
Share on Google Plus

0 comments: