Karibu katika blog ya WINGU TZ. Tangaza nasi bishara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0757254984 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Hot : Diamond amerudi tena na Verse hii ya Maandishi Baada ya Responce ya Ali Kiba, Je amemjibu tena Alikiba..?


Alikiba kumjibu Diamond Platnumz kutokana na mistari yake aliyo mchana kupitia wimbo wa ‘Fresh Remix’ na Alikiba kutumia ukurasa wake wa Twitter kumjibu Diamond, ishu yao bado imeendelea ambapo Staa Diamond amerudi tena na Verse hii inayomaanisha kuwa watu wana mdiscuss kwenye mitandanao kutokana na verse moja aliyochana kwenye wimbo huo.
Diamond ameamua kurudi na verse nyingine aliyochana na kuipost kwenye ukurasa wake wa Instagram yenye mistari hii……..>>>“Kufanya verse moja tu naona povu linawashuka, kina dada wavaa vitop na vibukta, hawatoi ngoma kazi twitter kunisuta, wasafiria nyota na hapa pia na jua ruska, wengine vishavu nukta lips kama tuta najiuliza ni laana au wameumbwa na hulka, wako pamoja kuposti simu na mafuta aaahaa msiniletee nuksi mimi huwa silagi vipusa” -Diamond  

Swali Je Mistari hyo inamhusu Alikiba Na Majibu Yake Ya Awali?

Ukipata Tatizo Wasiliana Na uongozi Wa Wingu Tz Kwa +255757254984 Upewe Maelekezo
Au 
For More CheckUs Down here @
Click>>>>>>>To Follow Us Instagram @ G4dtz_Real <<<<<<<Click


Usikilize hapa chini wimbo wa Fid Q aliowashirikisha Diamond Platnumz na Rayvanny ‘Fresh Remix’

Share on Google Plus

0 comments: