Karibu katika blog ya WINGU TZ. Tangaza nasi bishara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0757254984 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Hot Newz : Nitabaki kuwa mfalme – Alikiba Asema Hayo Kwa Diamond


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amesema atabaki kuwa mfalme wa muziki hapa Bongo ingawaje anaandamwa na watu aliokataa kuwataja moja moja.
Alikiba
Akitumia lugha ya mafumbo, Alikiba kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ameoneshwa kukerwa na jambo hilo na kuamua kutema cheche huku akihoji kama walimpa kitanda basi waje wamtandikie alale kabisa.
“The KING ll always Be a KING. je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu ??”,ameandika Alikiba pasi kujua ujumbe huo umemulenga nani.
Jana Tarehe 21 Agosti, Rapa Fid Q aliachia remix ya wimbo wake ‘Fresh’ ambao amewashirikisha Diamond Patnumz na Rayvanny, wimbo ambao mashairi ya Diamond yameonekana kuleta utata huku watu wengi wakihusisha kumlenga Alikiba.

Moja ya mashairi hayo Diamond anasema “Ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu sio kesi, Kunicompare na Cinderella haiwezi kuwa fresh” hapa swali linakuja Cindeella ni nani? bila shaka wote mnafahamu wimbo WA Cinderella uliomtoa Alikiba kwenye game.
Na mashairi mengine ambayo yanahusishwa moja kwa moja na posti ya Alikiba ni pale Diamond Platnumz alivyosema “Si walitaka kiti, nimewapa hadi kitanda wakalale” kwani Alikiba nae ameonekana kukerwa na mistari hiyo na kujibu “je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu?”.
Ukipata Tatizo Wasiliana Na uongozi Wa Wingu Tz Kwa +255757254984 Upewe Maelekezo
Au 
For More CheckUs Down here @
Click>>>>>>>To Follow Us Instagram @ G4dtz_Real <<<<<<<Click


Usikilize hapa chini wimbo wa Fid Q aliowashirikisha Diamond Platnumz na Rayvanny ‘Fresh     Remix’  

Share on Google Plus

0 comments: